Paka na Panya - Paperback
$21.58
by Peter Juma (Author), Jacob Mwasio (Author), Darius Mwasio (Author)
Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya.
Number of Pages: 28
Dimensions: 0.06 x 7 x 5 IN
Publication Date: July 11, 2022
Estimated delivery: August 06 - August 09, 2026
Secure Checkout
Free Returns
Proudly USA Based
Accepted Payment Methods